Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Pugu Mnadani tarehe 21/12/2015 |
Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko Bi. Anunciata Njombe akiongea na waandishi wa habari Pugu Mnadani katika Ziara ya Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha |
Josho la kuogeshea ng'ombe ambalo limekaa kwa muda mrefu bila kutumika Pugu Mnadani |
Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha akiongea na wafanya biashara wa Pugu Mnadani |
Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha akisaini kitabu cha wageni katika Mnada wa Mbuzi huko Pugu |
Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha akitembelea Mnada wa Mbuzi |
Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha akiangalia mipaka na maeneo yaliyouzwa |
Mmoja wa kibarua akimuonesha Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha maeneo mengine yaliyochukuliwa na kujengwa na Wananchi Pugu |
jiwe la muda mrefu linaloonesha mpaka kati ya eneo moja kwenda jingine |
Baadhi ya nyumba zilizojengwa kwenye eneo la Serikali huko Pugu |