Nav bar

Alhamisi, 30 Januari 2014

KARIBU WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI


 NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. KAIKA TELELE SANING"O AKIKARIBISHWA WIZARANI NA KAIMU KATIBU MKUU BIBI CATHERINE JOSEPH. Afisa Utumishi Bibi Ngele akimkabidhi maua Naibu Waziri kama ishara ya Upendo, Ukarimu na Kumkaribisha Wizarani kwa.

Mhe. Naibu Waziri akisaini kitabu cha Wageni kutoka Idara , Vitengo na Wakala za Wizara zilizopo ndani ya Makao Makuu ya Wizara.

Mhe. Naibu Waziri akifafanua jambo kwa watendaji Wakuu waliomkaribisha Wizarani 

Mhe. Naibu Waziri akibadilishana mawazo na Watendaji Wakuu waliompokea Ofisini kwake Makao Makuu ya Wizara Mvuvi House
Anayeonekana katika picha ni Afisa Utumishi Bibi Ngele na Afisa Mawasiliano Bw Bernard Kaali wakifatilia kwa makini mazungumzo ya Mhe Naibu Waziri hayupo pichani
Mtoa Huduma kwenye Ofisi ya Naibu Waziri Bibi Victoria Mwaikono akitoa huduma kwa wageni wakati wakibadilishana mawazo na Naibu Waziri 

Kaimu Katibu Mkuu Bibi Catherine Joseph akiwa na Katibu wa Naibu Waziri Bw Nathaniel Mboje 

Jumatano, 29 Januari 2014

KIKAO KAZI CHA KUMKARIBISHA WAZIRI WA MMUV NA KUAGA WASTAAFU TAREHE 24 JANUARI 2014.

 Mhe.Waziri wa MMUV Dk.Titus Mlengeya Kamani wa pili kutoka kushoto, Naibu katibu Mkuu wa kwanza kushoto katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Mifugo na Uvuvi Bw Seremala na  kulia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Bibi Theresia Munghanga

 Hawa ni baadhi ya Wastaafu wa MMUV wakipiga makofi muda mfupi baada ya Mhe. Waziri wa MMUV kuwasili viwanja vya Wizara.


 Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya MMUV wakiwa katika kikao kazi cha kumkaribisha Waziri wa MMUV Mhe. Dk. Titus Kamani Mlengeya na kuwaaaga wastaafu.

 Hawa ni baadhi ya wakuu  wa Idara wakiwa katika viwanja vya Wizara ya MMUV wakifuatilia kikao kazi.


 Waziri wa MMUV Mhe.Dkt Titus Kamani wa pilikushoto , Naibu Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba wa kwanza kushoto wa tatu ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara Bw Seremala Mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Bibi Theresia 

 Baadhi ya wakuu  wa Idara na Vitengo wakiwa katika viwanja vya Wizara ya MMUV wakisikiliza    kwa makini Hotuba ya Mgeni Rasmi. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.

                             Baadhi ya wastaafu wakifuatilia jambo katika viwanj vya MMUV                     Hawa ni baadhi ya wafanyakazi wa MMUV wakifuatilia jambo katika kikao
                                           kazi cha kumkaribisha Waziri wa MMUV


                                 Baadhi ya wafanyakazi wa MMUV wakifuatilia jambo katika kikao
                                 kazi cha kumkaribisha  Mhe. Waziri wa MMUVna kuaga wastaafu

              Picha ya pamoja ya Mhe. Waziri wa MMUV, Viongozi wa Wizara na Wastaafu.

                      Picha ya pamoja Mhe. Waziri wa MMUV, Viongozi wa Wizara na Wastaafu.

                        Picha ya pamoja Mhe. Waziri wa MMUV, Viongozi wa Wizara na Wastaafu.


                          Picha ya pamoja Mhe. Waziri wa MMUV, Viongozi wa Wizara na Wastaafu


                Baadhi ya Watumishi  waliostaafu wa  MMUV Bi. Tatu Msala na Bi. Asha Kulumula.


  Mkurugenzi Msaidizi wa Ugani na Usajili  Bi. Magreth Bakuname wa pili kulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wastaafu Bi Stela Bitende, Dkt Mercy Shekimweri. 

Mtendaji Mkuu wa Ranchi za Taifa (NARCO) Dkt John Mbogoma akiongea na Wastaafu Dkt Meena na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Bibi Theresia Mughanga.