PEMBE ZA NG'OMBE AINA YA ANKOLE ZILIZOONGEZWA THAMANI
Pembe hizi hupatikana zaidi maeneo ya Magharibi mwa Tanzania ambapo Ng'ombe aina ya Ankole wanafugwa, "Tembelea maeneo ya Machinjio na Minada" zinapatika
|
SAMAKI SILIKANTI FAHARI YA MTANZANIA
SILIKANTI - fahari ya mtanzania samaki huyu anasadikiwa kuwepo mika 6000 iliyopita alitoweka na sasa ameonekana kwa wingi katika pwani ya Tanga eneo la Kigombe ambapo kwa sasa kuna hifadhi maalum ya Bahari na Maeneo Tengefu ya Kigombe Tanga. samaki huyu amefanya eneo hilo kuwa la utalii wa samaki |
UENDELEZAJI WA UFUGAJI KUKU WA ASILI KIBIASHARA
Ufugaji wa kuku wa Asili kibiashara ni Mkombozi wa mwananchi wa kawaida kuku hawa ni watamu wanakula vyakula vya asili boresha ufugaji wao kwa kuwapa eneo bora la kuwafuga, wape chakula bora na maji safi ya kutosha bei yao ni kubwa katika soko kulinganisha na wa kisasa.
ZAO LA MWANI NI CHANZO CHA MAPATO KWA WAKINA MAMA WA UKANDA WA PWANI
Ukulima Mwani ni mkombozi kwa wanawake wa Ukanda wa Pwani, tuboreshe kilimo hicho tuzalishe kwa wingi, wakinamama kujiunga katika vikundi ili kutetea soko la Mwani kuwa bora.
MRADI WA MACEMP ULIWEZESHA UTOAJI WA BOTI ZA KISASA KWA AJILI YA KUFANYA DORIA ZA KIDHIBITI UVUVI HARAMU
Utumiaji wa Boti zilizo bora katika Uhifadhi wa Bahari, kufanya Doria ili kudhibiti Uvuvi Haramu. Zana kama hizi ni muhimu katika kukuza uchumi wa wananchi katika kuvuna maeneo yanayokubalika na kuacha kuvua samaki wadogo.
MARADI WA UTUNZAJI WA MAZINGIRA YA BAHARI NA KUBORESHA MAISHA YA WAKAZI WA PWANI (MACEMP) MKOMBOZI WA MVUVI MDOGO
PICHA ZA KUMBUKUMBU ZA MSIBA WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UTAWALA NA UTUMISHI MAREHEMU JOHN PATRICE YAMO MUNGU AILAZE PEMA ROHO YAKE AMINA
PICHA ZA WATUMISHI WA WIZARA KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR-ES-SALAAM 2011
ZIARA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIPOTEMBELEA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI TAREHE 31/03/2011
USISHANGAE HUYO NI AINA YA VIUMBE KWENYE MAJI WANAOLIWA KAMA PWEZA UPO................ |