Bi. toky kutoka Smart Fish Mauritius akiwa karibisha Washiriki katika mashindano hayo yaliyofanyika Protea Hotel (hawapo pichani) |
Bi. Mwanaidi Mlolwa Mkurugenzi msaidizi ubora wa mazao ya uvuvi akimkaribisha Mkurugenzi wa uvuvi Bw. Hosea Mbilinyi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
Mkurugenzi wa Uvuvi Bw. Hosea Mbilinyi akiongea na washiriki njia bora za uzalishaji wa samaki |
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akilezea kuhusu mafanikio ya mazao yatokanayo na uvuvi |
Bi. Suzan Muga Mchakataji wa dagaa wa kubanika na moshi kutoka Musoma akijitambulisha |
Mmoja wa Wahirki wa mashindano hayo Bi. Beatrice Mmbaga kutoka Musoma anachakata, kusafirisha na kuuza samaki na mazao yake akijitambulisha pia |
Bi. Silvia Dotto akijitambulisha ametokea Butimba Mwanza ni mchakataji wa dagaa za kuanika kwa jua |
Bi. Rosemary Luhasile kutoka Kikundi cha uchakataji dagaa kutoka Ukerewe Mwanza kisiwa cha Izinga mshiriki wa masindano hayo |
Bw Omary Zuberi akitokea Muleba mchakataji wa dagaa akijitambu;lisha kabla ya mashindano hayo kuanza |
Bw. Issa Magani kutoka Muleba mchakataji wa kukaanga na dagaa wa kukaushwa |
Bw. Ally Mohammed kutoka Bukoba ni mchakataji wa mapanki na dagaa na pia anamasoko ndani na nje ya nchi akijielezea kabla ya mashindano kuanza |
Bw. Bahati Malembo kutoka Bukoba ni Mvuvi na pia anachakata na kusafirisha dagaa nchini na nje ya nchi |
Waschakataji kutoka ziwa Victoria na bahari ya hindi wakisikiliza kwa makini mada inayotolewa na Katibu Mkuu (hayupo pichani) |
dagaa zilizokaushwa kutoka kwa wachakata |
Wafadhili kutoka European Union katikati ni Bw. Gianluca Kzzoni wakiangalia bidhaa kutoka kwa mchakataji (hayupo pichani)chini ya mradi wa Smart Fish |
Zawadi zilizoandaliwa kutoka kwa smart fish kwa ajili ya washindi hao |
Picha ya pamoja akiwepo Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvui, Wadau, wafanyabiashara wafadhili na wafanyakazi kutoka Wizarani. |