Ijumaa, 29 Mei 2015
UZINDUZI WA WIKI YA MAZIWA KITAIFA MKOANI MANYARA TAREHE 28/05/ 2015
Mkuu wa Mkoa Manyara Mhe. Joel Bendera akiwahutubia wadau wa Maziwa katika uzinduzi ya wiki ya Maziwa katika Viwanja vya kwa Raha mjini Babati |
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joel Bendera akigawa maziwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Manyara |
Baadhi ya Mifugo wanaoneshwa katika Maonesho hayo ni pamoja na Ngamia ambao wanatoa maziwa mengi na bora ambao wamekuwa kivutio kikubwa kwa wadau na wananchi wa mkoa wa Manyara |
Ng'ombe Dume aina ya AYRSHIRE mwenye umri wa miaka 4(minne) ambao wapo katika maonesho |
Ng'ombe majike wa maziwa aina FRIESIAN wenye umri wa miaka 4(minne) ambao wapo kwenye maonesho hayo. |
Mbuzi Dume wa maziwa aina ya TOGHENBURG akiwa katika maonesho |
Jumamosi, 23 Mei 2015
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE.DKT TITUS KAMANI AZINDUA DUKA LA NYAMA LA NARCO KIBAIGWA MKOA WA DODOMA
Kikundi cha ngoma wakitumbuiza pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt Titus Kamani |
Waziri wa Maendeleo wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt Titus Kamani akisaini katika kitabu cha wageni alipotembelea duka la nyama la NARCO kibaigwa mkoani Dodoma |
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt Titus Kamani akizindua duka la nyama la NARCO kibaigwa mkoani Dodoma |
Meneja wa ranchi ya Kongwa Bw. Bizimungu wakibadilishana mawili matatu na Mhe. Dkt. Titus Kamani |
Dkt. John Mbogoma Meneja Mkuu wa kampuni za Ranchi Tanzania akitoa hotuba fupi |
Dkt. John Mbogoma Meneja Mkuu wa kampuni za Ranchi Tanzania wakipeana mikono kumkaribisha Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt.Titus Kamani |
Ng'ombe wa nyama kutoka Ranchi ya Kongwa katika mamlaka ya mji mdogo kibaigwa |
Alhamisi, 21 Mei 2015
WAZIRI KAMANI ASOMA BAJETI YA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI 20/05/2015
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Bungeni |
Mhe Waziri akijibu Maswwali na Hoja za Wabunge |
Mkurugenzi Mkuuu NARCO Dkt John Mbogoma Akibadilishana mawazo na Katibu wa Waziri Bw Mwakipesile Mara baada ya kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge |
Mhe. Waziri Kamani Akipongezwa na Wadau mbalimbali Mara Baada ya Kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge Dodoma |
Mhe. Waziri Kamani akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Mhe Kaika Telele , Wakurugenzi wa Wizara na Wadau wa Sekta ya Mifugo na Uvuvi Mara baada ya kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge |
Mkurugenzi wa Manunuzi Bw Gaston Lugali akiwa na Mwanasheria wa Wizara Bw Herman Lyimo na Irene Lukindo Wakitoka ndani ya Ukumbi wa Bunge |
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Saning'o Telele akiwa katika picha ya pamoja na Bi Judith Mhina Afisa Mawasiliano na Bi Nganisa Masawe Mhasibu wa Wizara Mara baada ya Bajeti ya Wizara kupita nje ya Ukumbi wa Bunge |
Pembeni mwa Lango Kuu la Ukumbi wa Bunge Waziri Naibu Waziri wakipongezwa Mara Baada ya Kutoka |
Mhe Dkt Kamani (mwenye suti nyeusi) akiwa na Mama Magdalena Kamani na Mkurugenzi wa Mafunzo Utafiti na Ugani Dkt Mohammed Bahari na Katibu wa Waziri Bw Mwakipesile Mara Baada ya Bajeti ya Wizara Kupitishwa nje ya Ukumbi wa Bunge |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)