Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Bungeni |
Mhe Waziri akijibu Maswwali na Hoja za Wabunge |
Mkurugenzi Mkuuu NARCO Dkt John Mbogoma Akibadilishana mawazo na Katibu wa Waziri Bw Mwakipesile Mara baada ya kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge |
Mhe. Waziri Kamani Akipongezwa na Wadau mbalimbali Mara Baada ya Kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge Dodoma |
Mhe. Waziri Kamani akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Mhe Kaika Telele , Wakurugenzi wa Wizara na Wadau wa Sekta ya Mifugo na Uvuvi Mara baada ya kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge |
Mkurugenzi wa Manunuzi Bw Gaston Lugali akiwa na Mwanasheria wa Wizara Bw Herman Lyimo na Irene Lukindo Wakitoka ndani ya Ukumbi wa Bunge |
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Saning'o Telele akiwa katika picha ya pamoja na Bi Judith Mhina Afisa Mawasiliano na Bi Nganisa Masawe Mhasibu wa Wizara Mara baada ya Bajeti ya Wizara kupita nje ya Ukumbi wa Bunge |
Pembeni mwa Lango Kuu la Ukumbi wa Bunge Waziri Naibu Waziri wakipongezwa Mara Baada ya Kutoka |
Mhe Dkt Kamani (mwenye suti nyeusi) akiwa na Mama Magdalena Kamani na Mkurugenzi wa Mafunzo Utafiti na Ugani Dkt Mohammed Bahari na Katibu wa Waziri Bw Mwakipesile Mara Baada ya Bajeti ya Wizara Kupitishwa nje ya Ukumbi wa Bunge |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni