Nav bar

Jumatano, 29 Aprili 2015

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. KAIKA TELELE AKIFATILIA MRADI WA RAMAT WA MALISHO YA MIFUGO KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Telele akiongea na Mhifadhi nMkuu wa Kanda ya Kokasye Bw John Mkonyi katika Ofisi za Hifadhi za Kokesye kabla ya kutembelea Mradi wa RAMAT wa Malisho
Uoto wa Asili Uliopo Katika Hifadhi ya Ngorongoro CreatorSehemu Pekee Duniani Ambapo Wanyama Pori Wankaa Maeneo na Binadamu ambao ni Jamii ya Wamasai
Hili ni Eneo la Uwanda wa Chini wa Ngorongoro Creator

Mhe Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Telele Akikagua Eneo la Mradi wa RAMAT ndani ya Uzio Uliozungushwa kwa Ajili ya Kuzuia Wanyama Kuingia ili Kukuza Nyasi kwa Ajili ya Malisho ya Mifugo
Mhe Naibu Waziri akiwa na askari wa Hifadhi ya Kanda ya Kokesyo ya Ngorongoro na Diwani wa eneo hilo Pamoja na Mwenyekiti wa Kijiji cha Endulen na Kokesyo Muda Mfupi kKabla ya Kutembelea Maradi wa RAMAT wa Malisho ya Mifugo Unaofadhiliwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

Eneo Maalum la Kuangalia Bonde la Ngorongoro Ambapo Waasisi na Wafadhili Waliweka Kumbukumbu Zao

Baadhi ya Mifugo ya Wenyeji wa Ngorongoro ikiwa Pamoja na Punda Milia Wakati wa Kutafuta Malisho
Jumanne, 28 Aprili 2015

SEMINA YA WADAU NA WAFUGAJI WA KUKU KAMPUNI ZA "FARMERS CENTRE NA FARMBRES" ILIOFANYIKA LAMADA HOTEL JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 26/04/2015


Mgeni rasmi Prof. Dominic Kambarage akifungua semina ya Wadau wa kuku iliyofanyika katika hoteli ya LAMADA mwishoni wa wiki Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Baraza la Vetenary Tanzania Dkt. Beda Masuruli akitoa mada juu ya utoaji wa huduma za Afya ya Mifugo Tanzania

Washiriki wa Semina  ya Wadau na Wafugaji kampuni za "FARMERS CENTRE NA FARMBASE" Wakisikiliza kwa makini
Dkt. Mayela Nicholous akitoa ufafanuzi kuhusu semina ya kuku iliofanyika hoteli ya LAMADA Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa kampuni ya "Farm Base" Bw.Salim Msellem wakibadilishana mawili matatu  na Mkurugenzi wa Baraza la Vetenary Tanzania Dkt. Beda Masuruli.

Mmoja wa wadau wa kuku akitoa maoni yake kuhusu ufugaji wa kuku iliofanyika katika hoteli ya LAMADA

Wafugaji wa kuku wakitembelea maonesho ya makampuni yanayo tengeneza madawa ya vyakula vya mifugo katika viwanja vya hoteli ya LAMADA

Mmoja wa wawezeshaji akiwaelimisha wadau wa kuku waliohudhuria katika Semina ya "FARMERS CENTRE NA FARMBRES" iliofanyika LAMADA hotel Jijini Dar es Salaam.

Jumatano, 15 Aprili 2015

WAZIRI KAMANI AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA BARAZA LA WADAU WA TASNIA YA NYAMA MOROGORO


Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi  Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani Akizindua Nembo na  Mtandao wa Bodi ya Tasnia ya Nyama Tanzania , Wakati wa Kufungua Mkutano wa Tatu wa Baraza


Add caption
Mtendaji  Mkuu wa Kampuni ya Ranchi za Taifa Tanzania Dkt John Mbogoma na Dkt Daniel Mushi Mjumbe wa Bodi ya Tasnia ya Nyama kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine 
Mdau wa Usindikaji  Bw Alphonce Kichemuli  wa Kampuni wa Chobo Investiment iliyopo  Jiji la Mwanza
Waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano wa Tatu wa Wadau wa Tasnia ya Nyama  Uliofanyika katika Hoteli ya Glonency 88