Mgeni rasmi Prof. Dominic Kambarage akifungua semina ya Wadau wa kuku iliyofanyika katika hoteli ya LAMADA mwishoni wa wiki Jijini Dar es Salaam. |
Dkt. Mayela Nicholous akitoa ufafanuzi kuhusu semina ya kuku iliofanyika hoteli ya LAMADA Jijini Dar es Salaam |
Mkurugenzi wa kampuni ya "Farm Base" Bw.Salim Msellem wakibadilishana mawili matatu na Mkurugenzi wa Baraza la Vetenary Tanzania Dkt. Beda Masuruli. |
Mmoja wa wadau wa kuku akitoa maoni yake kuhusu ufugaji wa kuku iliofanyika katika hoteli ya LAMADA |
Wafugaji wa kuku wakitembelea maonesho ya makampuni yanayo tengeneza madawa ya vyakula vya mifugo katika viwanja vya hoteli ya LAMADA |
Mmoja wa wawezeshaji akiwaelimisha wadau wa kuku waliohudhuria katika Semina ya "FARMERS CENTRE NA FARMBRES" iliofanyika LAMADA hotel Jijini Dar es Salaam. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni