Nav bar

Ijumaa, 16 Juni 2017

WAZIRI MKUU AWAAGIZA MAAFISA MIFUGO WA WILAYA NA MIKOA KUCHAPA KAZI NA KUHAKIKISHA SEKTA YA MIFUGO INAKUWA NA TIJA

BAADHI YA MAAFISA MIFUGO KUTOKA WILAYA MBALIMBALI NA MIKOA WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA (HAYUPO KWENYE PICHA)

BAADHI YA WAKURUGENZI WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO KUTOKA  WIZARA NA TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI
WAZIRI WA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI  MHE.ENG.DR.CHARLES TIZEBA AKIMKARIBISHA WAZIRI MKUU ILI AWEZE KUONGEA NA MAAFISA MIFUGO

WAZIRI WA TAMISEMI MHE GEORGE SIMBACHAWENE AKIMKARIBISHA WAZIRI WA KILIMO MIFUGO NA UVUVI MHE.ENG.DR.CHARLES TIZEBA ILI AWEZE KUMKARIBISHA WAZIRI MKUU AONGEE NA MAAFISA MIFUGO

WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA AKIHUTUBIA MAAFISA MIFUGO WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO


MKURUGENZI WA UZALISHAJI WA MIFUGO NA MASOKO BI.ANUSIATHA NJOMBE AKISOMA RISALA FUPI KABLA YA KUZINDUA MPANGO ENDELEVU WA KUENDELEZA MIFUGO NCHINI