Nav bar

Jumatano, 13 Desemba 2023

PROF. SHEMDOE CHUONI NDC

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe  akiwasili na kupokelewa na Maafisa wa Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi – Tanzania (NDC) kwa ajili ya kutoa Mhadhara kuhusu" Livestock and Fisheries Sector's Development in Tanzania"kwa Washiriki wa Kozi ya Kumi na Mbili jana tarehe  12 Disemba 2023.

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe akisaini kitabu cha Wageni mara tu baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Jana  tarehe 12 Disemba2023 jijini Dar es salaam.