Wafugaji wa Mvomero wakifatilia kwa makini mafunzo yanayotolewa na Idara ya Utafiti Mafunzo na Ugani |
Bibi Bezia Rwengenzibwa akitoa Mafunzo ya Ufugaji Bora kwa Wafugaji wa Asili wa Mvomero |
Katika picha ni Mwalo wa kupokelea samaki katika Pwani ya Mafia. Uwepo wa Mwalo huongeza dhmani ya Usalama na Ubora wa mazao yatokanayo na Uvuvi |
Afisa Uvuvi Bw Kavishe akionyesha ukubwa na ubora wa samaki wanaovuliwa kutokana na utuzaji na uhifadhi wa Maeneo Tengefu ya Bahari |
IONEKANAYO HAPO CHINI SIO KABICHI////////////////////////////////////////// |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Charles Nyamrunda akipitia karatasi za makabidhiano na kuzisaini wakati wa kukabidhi Mwalo wa Nyamisati kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji Bw Abdala Kiparanga. |
karibu Mkuu akisaini karatasi za makabidhiano pembeni yake ni Mkurugenzi Msaidizi Usalama na Ubora wa Samaki na Mazao ya Uvuvi Bibi Mwanaidi Mlolwa |
Baadhi ya Wanakikundi cha Ulinzi Shirikishi wa Mazingira ya Bahari (BMU) wakifatilia kwa makini wakati wa makabidhiano hayo |
Mvuvi na Mfanyabiashara wa samaki aina ya Kambamiti na Kaa Bw Msham . Katika picha anmuandaa kaa kwa ajili ya kumpima uzito na kumuuza kwa wateja wake. |