Nav bar

Jumanne, 18 Februari 2014

TEMBELEA BAHARI YA HINDI ENEO LA PWANI YA MAFIA INAYOTUNZWA NA KUHIFADHIWA YENYE MATUMBAWE BORA, YANAYOZALISHA SAMAKI NA VIUMBE VINGINE VYA KWENYE MAJI, HII IKIWA NI UHIFADHI BORA WA MAENEO TENGEFU NA MATUMIZI YA ZANA BORA ZA UVUVI NJE YA MAENEO TENGEFU. YAKE.

          

Katika picha ni Mwalo wa kupokelea samaki katika Pwani ya Mafia. Uwepo wa Mwalo huongeza dhmani ya Usalama na Ubora wa mazao yatokanayo na Uvuvi  
 WAVUVI WAKIWA KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU


Afisa Uvuvi Bw Kavishe akionyesha ukubwa na ubora wa samaki wanaovuliwa kutokana na utuzaji na uhifadhi wa Maeneo Tengefu ya Bahari IONEKANAYO HAPO CHINI SIO KABICHI//////////////////////////////////////////


Aina mbalimbali ya Matumbawe ambayo ndio maeneo ya mazalia ya samaki na viumbe kwenye maji. Upigaji wa mabomu na uvuvi usiofata taratibu halali na zana bora huharibu matumbawe, hivyo viumbe kwenye maji wanaotegemea kuzaliana kupitia matumbawe hutoweka  

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni