Nav bar

Ijumaa, 8 Aprili 2016

ZOEZI LA KUTOA VYETI KWA WATAALAMU WALIOFUZU KUTUMIA MASHINE ZA UHAKIKA UBORA WA VYAKULA ILIOFANYIKA TVLA TAREHE 08/04/2016

picha ya pamoja ni wahitimu waliojifunza kutumia vifaa vya kisasa vya kuhakiki ubora wa vyakula vya mifugo ambavyo vimefadhiliwa na mradi wa  US Grain katika Wakala wa Maabara ya mifugo Tanzania

Mkurugenzi Mkuu Bw. Tokkie Groenewald  kutoka kampuni ya Simsoft Development akielezea umuhimu wa mashine hizo ambazo zinauwezo mkubwa wa kutoa majibu sahihi kwa sampuli mbalimbali

Kipimo cha kutafiti Ureas katika soya

Bw. Henry Mlundachuma akielezea matumizi ya kifaa cha kisasa katika kuhakiki ubora wa soya

mmoja wa mtafiti akionesha PH - meter inayotumika kupimia ubora wa sampuli ya soya kama inafaa kutumika

Kipimo cha NIR S inayotumika kupimia viinilishe vya kuhakiki ubora wa vyakula vya mifugo

Bw. Henry Mlundachuma akipokea cheti baada ya kupata mafunzo kwa ajili ya kufahamu matumizi ya vifaa vya kisasa vilivyoletwa na kampuni ya  US grain    vya kuhakiki vyakula vya mifugo vinavyotengeneza na kampuni mbalimbali kukutumia vipimo vya

Bi Mary Ngowi akipokea cheti na yeye kutoka kwa Dkt. Henry Maguisha akipokea cheti baada ya kupata mafunzo kwa ajili ya kufahamu matumizi ya vifaa vya kisasa vilivyoletwa na kampuni ya US grain

Bi. Mary N

Jumatano, 6 Aprili 2016

ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO,UVUVI NA MAJI WALIPOTEMBELEA RANCHI YA TAIFA YA NARCO TAREHE 05/04/2016Katibu Mkuu Mifugo Dkt. Maria Mashingo akiwakaribisha wabunge katika Ranchi ya Narco kwa ajili ya kukagua miradi ya Maendeleo,kutoka kulia ni Mhe.Martha Mlata katibu wa kamati,Mhe.Mary Nagu mwenyekiti wa kamati na kushoto ni Maneger wa Ranchi za Taifa Dkt.Bwire kafumu

Dkt. Bwire Kafumu akitoa maelezo mafupi ya Ranchi ya taifa ya Narco kwa kamati ya kudumu ya Bunge. 
Wabunge wakiangalia moja ya bwawa lililopo ndani ya Ranchi hiyo( Bwawa halipo pichani)

Bwawa  hili hutumika kunyweshea  maji mifugo iliyopo ndani ya   Ranchi ya Taifa ya Narco (Bwawa hilo linaitwa YUGO)Baadhi ya ng'ombe aina ya Bohorani waliopo katika Ranchi ya Taifa ya Narco
                                     


Wajumbe wa kamati ya Bunge ya kudumu wakiangalia ng'ombe (hawapo pichani)


Kondoo waliopo katika Ranchi ya Taifa ya NarcoMbuzi  waliopo katika Ranchi ya Taifa ya NarcoFarasi nao wanafugwa katika Ranchi ya Taifa ya  Narco Ruvu
ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO,UVUVI NA MAJI ILIYOFANYIKA KATIKA KITUO CHA KINGOLWIRA MOROGORO TAREHE 04/04/2016Katibu Mkuu Dkt Yohana Budeba akisoma taarifa ya kituo cha ukuzaji na ufugaji samaki kingolwira Morogoro kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya kilimo,mifugo,uvuvi na maji
Baadhi ya Mabwawa ya samaki yaliyopo Kingolwira Morogoro
Baadhi ya Matenki maalumu yaliyotengenezwa kitaalamu kwa ajili ya kuzalishia vifaranga vya samaki
Kamati ya Bunge wakiaangalia vifaranga vya Samaki aina ya sato moja ya matenki yaliyopo katika kituo cha ukuzaji na uzalishaji samaki KingolwiraKatibu Mkuu  wa uvuvi Dkt Yohana Budeba akisalimiana na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge  ya kilimo,mifugo ,uvuvi na Maji  Mhe.Mary Nagu mara baada ya kufika katika kituo cha ukuzaji na Uzalishaji samaki Kingolwira.

Mkurugenzi wa ukuzaji viumbe kwenye maji Dkt Charles Mahika akitoa maelezo mafupi katika chumba cha utotoreshaji vifaranga vya samaki na jinsi mfumo wa maji utakavyokuwa unafanya kazi
Chumba cha Utotoreshaji vifaranga vya Samaki