Nav bar

Jumatano, 6 Aprili 2016

ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO,UVUVI NA MAJI ILIYOFANYIKA KATIKA KITUO CHA KINGOLWIRA MOROGORO TAREHE 04/04/2016Katibu Mkuu Dkt Yohana Budeba akisoma taarifa ya kituo cha ukuzaji na ufugaji samaki kingolwira Morogoro kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya kilimo,mifugo,uvuvi na maji
Baadhi ya Mabwawa ya samaki yaliyopo Kingolwira Morogoro
Baadhi ya Matenki maalumu yaliyotengenezwa kitaalamu kwa ajili ya kuzalishia vifaranga vya samaki
Kamati ya Bunge wakiaangalia vifaranga vya Samaki aina ya sato moja ya matenki yaliyopo katika kituo cha ukuzaji na uzalishaji samaki KingolwiraKatibu Mkuu  wa uvuvi Dkt Yohana Budeba akisalimiana na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge  ya kilimo,mifugo ,uvuvi na Maji  Mhe.Mary Nagu mara baada ya kufika katika kituo cha ukuzaji na Uzalishaji samaki Kingolwira.

Mkurugenzi wa ukuzaji viumbe kwenye maji Dkt Charles Mahika akitoa maelezo mafupi katika chumba cha utotoreshaji vifaranga vya samaki na jinsi mfumo wa maji utakavyokuwa unafanya kazi
Chumba cha Utotoreshaji vifaranga vya SamakiHakuna maoni:

Chapisha Maoni