MKUTANO MKUU WA MWAKA WA BARAZA LA NYAMA TANZANIA ULIOFANYIKA MKOANI MOROGORO NA KUFUNGULIWA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT DAVID MATHAYO DAVID NA KUHUDHURIWA NA MKUU WA MKOA WA MOROGORO MHE. JOEL BENDERA. TAREHE 29/02/2012
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Baraza la Nyama wakisikiliza kwa makini. |
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera akiwasalimia wajumbe na kuwakaribisha Morogoro.
Waziri wa Maendeleo wa Mifigo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Baraza la Nyama Tanzania uliofanyika Morogoro Hoteli ya Nanenane.
Mdau wa nyama akiuliza swali |
Kaimu Katibu Mkuu akiwakaribisha wajumbe wa Baraza la Mkutano Mkuu wa Mwaka ,pia kumuomba Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kuwasalimia Wajumbe.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Baraza la Nyama akitoa Mada Mhe. Chrisant Mzindakaya.