picha ya pamoja ni wahitimu waliojifunza kutumia vifaa vya kisasa vya kuhakiki ubora wa vyakula vya mifugo ambavyo vimefadhiliwa na mradi wa US Grain katika Wakala wa Maabara ya mifugo Tanzania |
Mkurugenzi Mkuu Bw. Tokkie Groenewald kutoka kampuni ya Simsoft Development akielezea umuhimu wa mashine hizo ambazo zinauwezo mkubwa wa kutoa majibu sahihi kwa sampuli mbalimbali |
Kipimo cha kutafiti Ureas katika soya |
Bw. Henry Mlundachuma akielezea matumizi ya kifaa cha kisasa katika kuhakiki ubora wa soya |
mmoja wa mtafiti akionesha PH - meter inayotumika kupimia ubora wa sampuli ya soya kama inafaa kutumika |
Kipimo cha NIR S inayotumika kupimia viinilishe vya kuhakiki ubora wa vyakula vya mifugo |
Bi Mary Ngowi akipokea cheti na yeye kutoka kwa Dkt. Henry Maguisha akipokea cheti baada ya kupata mafunzo kwa ajili ya kufahamu matumizi ya vifaa vya kisasa vilivyoletwa na kampuni ya US grain |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni