Nav bar

Alhamisi, 13 Februari 2014

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI AKABIDHI MWALO WA NYAMISATI KWA HALMASHAURI YA RUFIJIKatibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Charles Nyamrunda akipitia karatasi za makabidhiano na kuzisaini wakati wa kukabidhi Mwalo wa Nyamisati kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji Bw Abdala Kiparanga.
karibu Mkuu akisaini karatasi za makabidhiano pembeni yake ni Mkurugenzi Msaidizi Usalama na Ubora wa Samaki na Mazao ya Uvuvi Bibi Mwanaidi Mlolwa

Baadhi ya Wanakikundi cha Ulinzi Shirikishi wa Mazingira ya Bahari (BMU) wakifatilia kwa makini wakati wa makabidhiano hayo

Mvuvi na Mfanyabiashara wa samaki aina ya Kambamiti na Kaa Bw Msham . Katika picha anmuandaa kaa kwa ajili ya kumpima uzito na kumuuza kwa wateja wake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni