BAADHI YA MAAFISA MIFUGO KUTOKA WILAYA MBALIMBALI NA MIKOA WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA (HAYUPO KWENYE PICHA) |
BAADHI YA WAKURUGENZI WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO KUTOKA WIZARA NA TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI |
WAZIRI WA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI MHE.ENG.DR.CHARLES TIZEBA AKIMKARIBISHA WAZIRI MKUU ILI AWEZE KUONGEA NA MAAFISA MIFUGO |
WAZIRI WA TAMISEMI MHE GEORGE SIMBACHAWENE AKIMKARIBISHA WAZIRI WA KILIMO MIFUGO NA UVUVI MHE.ENG.DR.CHARLES TIZEBA ILI AWEZE KUMKARIBISHA WAZIRI MKUU AONGEE NA MAAFISA MIFUGO |
WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA AKIHUTUBIA MAAFISA MIFUGO WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO |
MKURUGENZI WA UZALISHAJI WA MIFUGO NA MASOKO BI.ANUSIATHA NJOMBE AKISOMA RISALA FUPI KABLA YA KUZINDUA MPANGO ENDELEVU WA KUENDELEZA MIFUGO NCHINI |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni