Mkuu wa Mkoa Manyara Mhe. Joel Bendera akiwahutubia wadau wa Maziwa katika uzinduzi ya wiki ya Maziwa katika Viwanja vya kwa Raha mjini Babati |
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joel Bendera akigawa maziwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Manyara |
Baadhi ya Mifugo wanaoneshwa katika Maonesho hayo ni pamoja na Ngamia ambao wanatoa maziwa mengi na bora ambao wamekuwa kivutio kikubwa kwa wadau na wananchi wa mkoa wa Manyara |
Ng'ombe Dume aina ya AYRSHIRE mwenye umri wa miaka 4(minne) ambao wapo katika maonesho |
Ng'ombe majike wa maziwa aina FRIESIAN wenye umri wa miaka 4(minne) ambao wapo kwenye maonesho hayo. |
Mbuzi Dume wa maziwa aina ya TOGHENBURG akiwa katika maonesho |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni