Nav bar

Ijumaa, 27 Novemba 2015

THE1ST FISH FOR TRADE AWARD IN EAST AFRICA WHICH HELD ON 25 NOVEMBER 2015 AT PROTEA HOTEL DAR ES SALAAM

Bi. toky kutoka Smart Fish Mauritius akiwa karibisha Washiriki katika mashindano hayo yaliyofanyika Protea Hotel (hawapo pichani)


Bi. Mwanaidi Mlolwa Mkurugenzi msaidizi ubora wa mazao ya uvuvi akimkaribisha Mkurugenzi wa uvuvi Bw. Hosea Mbilinyi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

Mkurugenzi wa Uvuvi Bw. Hosea Mbilinyi akiongea na washiriki njia bora za uzalishaji wa samaki


Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akilezea kuhusu mafanikio ya mazao yatokanayo na uvuvi


Bi. Suzan Muga  Mchakataji wa dagaa wa kubanika na moshi kutoka Musoma akijitambulisha

Mmoja wa Wahirki wa mashindano hayo Bi. Beatrice Mmbaga kutoka Musoma anachakata, kusafirisha na kuuza samaki na mazao yake akijitambulisha pia

Bi. Silvia Dotto akijitambulisha ametokea Butimba Mwanza ni mchakataji wa dagaa za kuanika kwa jua

Bi. Rosemary Luhasile  kutoka Kikundi cha uchakataji dagaa kutoka Ukerewe Mwanza kisiwa cha Izinga mshiriki wa masindano hayo

Bw Omary Zuberi akitokea Muleba mchakataji wa dagaa akijitambu;lisha kabla ya mashindano hayo kuanza

Bw. Issa Magani kutoka Muleba  mchakataji wa kukaanga na dagaa wa kukaushwa

Bw. Ally Mohammed kutoka Bukoba ni mchakataji wa mapanki na dagaa na pia anamasoko ndani na nje ya nchi akijielezea kabla ya mashindano kuanza

Bw. Bahati Malembo kutoka Bukoba ni Mvuvi na pia anachakata na kusafirisha dagaa nchini na nje ya nchiWaschakataji kutoka ziwa Victoria na bahari ya hindi wakisikiliza kwa makini mada inayotolewa na Katibu Mkuu (hayupo pichani)

dagaa zilizokaushwa kutoka kwa wachakata
Wafadhili kutoka European Union katikati ni Bw.  Gianluca Kzzoni wakiangalia bidhaa kutoka kwa mchakataji (hayupo pichani)chini ya mradi wa Smart Fish


Zawadi zilizoandaliwa kutoka kwa smart fish  kwa ajili ya washindi hao

Picha ya pamoja akiwepo Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvui, Wadau, wafanyabiashara wafadhili na wafanyakazi kutoka Wizarani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni