Nav bar

Jumanne, 24 Novemba 2015

MASHINDANO YA NGALAWA NA KUOGELEA YALIYOFANYIKA TAREHE 21/11/2015 KIGOMBE PANGANI.

Ngalawa zikiwa zimejipanga tayari kwa  mashindano

Mshindi wa kwanza wa ngalawa akikaribia kusogea nchi kavu

Mshindi wa kwanza wa Ngalawa akisalimiana na  Mkurugenzi wa Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu Bw. Machumu Milali 

Mshindi wa Tatu wa Ngalawa Bw. Balozi Mohammed akipewa pongezi na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi Bw. Hosea Mbilinyi

Bw. Mohamed Mgeni mshindi namba tatu akifurahia ushindi wake

Timu ya waogeleaji ikiwa tayari kwa mashindano

Bi. Anitha Julius Mhifadhi Mfawidhi wa Hifadhi ya Bahari SILIKANTI Tanga akielezea Hifadhi ya Bahari ya Maeneo Tengefu huko  Kigombe

Wananchi wakiangalia mashindano ya kuogelea

Wasindi wa kuogelea wa kwanza kutoka kushoto ni Bw. Abasi Mohammed kutoka Kigombe ni mshindi wa kwanza  katikati ni Bw. Kibwana Masanga kutoka Pangani mshindi wa pili na kulia ni Bw. Daudi Mapungo kutoka Pangani mshindi wa tatu




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni