NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. KAIKA TELELE SANING"O AKIKARIBISHWA WIZARANI NA KAIMU KATIBU MKUU BIBI CATHERINE JOSEPH.
 |
Afisa Utumishi Bibi Ngele akimkabidhi maua Naibu Waziri kama ishara ya Upendo, Ukarimu na Kumkaribisha Wizarani kwa. |
 |
Mhe. Naibu Waziri akisaini kitabu cha Wageni kutoka Idara , Vitengo na Wakala za Wizara zilizopo ndani ya Makao Makuu ya Wizara. |
 |
Mhe. Naibu Waziri akifafanua jambo kwa watendaji Wakuu waliomkaribisha Wizarani |
 |
Mhe. Naibu Waziri akibadilishana mawazo na Watendaji Wakuu waliompokea Ofisini kwake Makao Makuu ya Wizara Mvuvi House |
 |
Anayeonekana katika picha ni Afisa Utumishi Bibi Ngele na Afisa Mawasiliano Bw Bernard Kaali wakifatilia kwa makini mazungumzo ya Mhe Naibu Waziri hayupo pichani |
 |
Mtoa Huduma kwenye Ofisi ya Naibu Waziri Bibi Victoria Mwaikono akitoa huduma kwa wageni wakati wakibadilishana mawazo na Naibu Waziri |
 |
Kaimu Katibu Mkuu Bibi Catherine Joseph akiwa na Katibu wa Naibu Waziri Bw Nathaniel Mboje |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni