Nav bar

Alhamisi, 3 Desemba 2015

MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI ULIOFANYIKA TAREHE 03/12/2015 KATIKA UKUMBI WA IDARA YA HABARI MAELEZO DAR ES SALAAM


Bi. Judith Mhina Mkuu wa Kitengo cha  Mawasiliano Serikalini  Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mradi wa SWIOFISH katika Mkutano wa Waandishi wa habari (Press Conference) uliofanyika tarehe 03/10/2015  Idara ya habari maelezo

Watumishi kutoka Wizarani na waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini taarifa hito kutoka kwa msemaji wa Wizara (hayupo pichani)


Bi fatma Sobo Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Uvuvi kulia ni Dkt. Simon Kwange Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi na kushoto ni Bi. Judith Mhina Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wakisikiliza mawswali kutoka kwa Waandishi (hawapo pichani)

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakisikiliza kwa makini majibu kutoka kwa Wataalamu

Bw. Silas William kutoka Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye maji akitoa majibu kwa Waandishi kuhusu kudhibiti viwanda kuhusianan na nyavu za kuvulia samaki


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni