Nav bar

Jumatatu, 14 Desemba 2015

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI AKARIBISHWA KATIKA OFISI YAKE ILIYOPO MVUVI HOUSE

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Tate Ole Nasha akiwa Ofisini kwake Jengo la Mvuvi House

Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akimkaribisha Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Tate Ole Nasha (hayupo pichani) Nyuma ya KM ni Afisa Mawasiliano Bw Richard KasugaNaibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi akipata Utambulisho kutoka kwa Afisa Mawasiliano Bw Richard Kasuga ya Watumishi aliofatana nao (hawapo pichani)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni