Nav bar

Jumanne, 22 Desemba 2015

ZIARA YA MHE NAIBU WAZIRI KATIKA MNADA WA PUGU TAREHE 21/12/2015

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Pugu Mnadani tarehe 21/12/2015

Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko Bi. Anunciata Njombe akiongea na waandishi wa habari Pugu Mnadani katika Ziara ya Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha 

Josho la kuogeshea ng'ombe ambalo limekaa kwa muda mrefu bila kutumika Pugu Mnadani

Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha akiongea na wafanya biashara wa Pugu Mnadani

Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha akisaini kitabu cha wageni katika Mnada wa Mbuzi huko Pugu

Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha akitembelea Mnada wa Mbuzi

Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha akiangalia mipaka na maeneo yaliyouzwa

 Mmoja wa kibarua akimuonesha Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha maeneo mengine yaliyochukuliwa na kujengwa na Wananchi Pugu

jiwe la muda mrefu linaloonesha mpaka kati ya eneo moja kwenda jingine

Baadhi ya nyumba zilizojengwa kwenye eneo la Serikali huko Pugu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni