Nav bar

Alhamisi, 10 Desemba 2015

WATUMISHI WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI WAMESHIRIKI KUFANYA USAFI KATIKA ENEO LA PUGU MNADANI NA FERI TAREHE 03 DEC 2015

Mkurugenzi wa  manunuzi na Ugavi  Bw. Gastory Lugali na wakishirikiana kufanya usafi na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bi. Tabu Chando


Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko Bi. Anunciata Njombe akifanya usafi

Mkurugenzi wa  manunuzi na Ugavi  Bw. Gastory Lugali akionesha ushirikiano katika kufanya usafi

Mkurugenzi wa  manunuzi na Ugavi  Bw. Gastory Lugali wakifanya usafi kwa pamoja na Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko Bi. Anunciata Njombe

Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakionesha ushirikiano katika kufanya usafi huko pugu mnadani







Wafanyakazi na Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakisafihsa maeneo ya feri jijini Dar es Salaam



Maoni 1 :

  1. kazi njema . tuendeleze moyoa huu wa kufanya kazi kwa bidii katika kila ngazi na katika kila sekta

    JibuFuta