Mkuu wa Wilaya ya Arusha Bw. Fadhili Mkulu akifungua rasmi mkutano huo kwa niaba ya mgeni rasmi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Filex Tilemba |
Baadhi ya washiriki kutoka sehemu mbalimbali wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani) |
Bi. Mariam mtaalamu wa mifugo kutoka Wilaya ya Ngorongoro akikabidhiwa zawadi baada kushinda maswali ya papo kwa papo na mtaalamu kutoka kampuni za Fambase na Farmers center |
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Richard Kwitega akikabidhi cheti cha Usajili kwa mtaalam wa mifugo |
Picha ya pamoja Washiriki wa mkutano wa mwaka, Mgeni rasmi, wataalamu wa Chama cha mifugo ncini, TAVEPA na Wafanyakazi wa makampuni mbalimbali wanaotengeneza madawa ya mifugo |
Washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Chama cha Madktari nchini wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani) |
Katibu wa Chama cha madaktari TVA Dkt. Magwisha akisoma taarifa ya mwaka kwa Washiriki wa Chama hicho |
Mwenyekiti wa Chama cha madaktari wa Mifugo nchini (TVA) Pro.Dominic Kambarage akisikiliza yanayoongelewa kwenye mkutano huo |
Mwenyekiti wa TAVEPA Bw. Salim Mselem akimuonesha Bw. Fadhili Mkulu moja ya madawa ya mifugo yanayotengenezwa na kampuni ya Fambase na Farmers Centre katika viwanja vya VIC Arusha |
Picha ya Pamoja ya Mgeni rasmi, washiriki na viongozi katika viwanja vya AICC Jijini Arusha |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni