Nav bar

Jumatano, 16 Desemba 2015

WAZIRI NA NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI WAKARIBISHWA WIZARANI TAREHE 16/12/2015

Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba akikaribishwa Wizarani

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Tate OleNasha akikaribishwa Wizarani
Picha ya pamoja Watumishi wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakiwapongeza Waziri Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba na Naibu Waziri Mhe. William Tate OleNasha

Maoni 2 :

  1. hongera , karibuni sana kilimo mifugo/uvuvi

    JibuFuta
  2. wote tujipange vizuri kuwe na tija wakulima na wafugaji watatuona kwa ubora wa huduma tunayotoa

    JibuFuta