MJI WA SERIKALI WAZINDULIWA NA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA
Matukio ya picha, Sehemu ya ufunguzi wa Ofisi za Wizara, Taasisi za Serikali Katika Mji wa Serikali Mtumba yaliyozinduliwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na mgeni wake, Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola.
Ufunguzi Majengo hayo umefanyika leo Oktoba 30, 2026, Mtumba Jijini Dodoma.


















Maoni
Chapisha Maoni