Nav bar

Alhamisi, 24 Agosti 2023

KIKAO CHA KUJADILI PROGRAMU YA KUENDELEZA SEKTA ZA KILIMO NA UVUVI KWA UPANDE WA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR CHAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde (kushoto) na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Anthony Mavunde wakipitia taarifa wakati wa kikao cha Mawaziri wa sekta hizo kilicholenga kujadili programu ya kuendeleza sekta za kilimo na Uvuvi kwa upande wa Tanzania bara na Zanzibar kilichofanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar-es-alaam Julai 28, 2023.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi (aliyesimama) akiwasilisha taarifa mbele ya wajumbe wa kikao kilicholenga  kujadili programu ya kuendeleza sekta za kilimo na Uvuvi kilichofanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar-es-alaam Julai 28, 2023. Kushoto ni Mwenyekiti wa kikao hicho Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni