Nav bar

Alhamisi, 17 Novemba 2022

BODI YA MAZIWA YATOA ELIMU YA NYWAJI MAZIWA KWA WANAFUNZI

 


Afisa Masoko wa Bodi ya Maziwa Tanzania Bw. Hamisi Kiimbi akionesha mfano wa Maziwa yenye ujazo wa robo lita yanayotumika kwenye Mpango wa Unywaji Maziwa Shuleni kwa wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Medeli iliyopo Jijini Dodoma leo Novemba 11,2022 wataalamu wa Bodi ya Maziwa Tanzania walipofika shuleni hapo kuutambulisha Mpango huo wa Unywaji Maziwa Shuleni kwa wazazi hao na kutoa Elimu ya unywaji Maziwa


Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Medeli iliyopo Jijini Dodoma leo Novemba 11,2022 wakisikiliza kwa makini Elimu ya Maziwa ikitolewa na wataalamu wa Bodi ya Maziwa Tanzania walipofika shuleni hapo kuutambulisha Mpango wa Unywaji Maziwa Shuleni kwa wazazi hao na kutoa Elimu ya unywaji Maziwa.


Afisa Uzalishaji Maziwa wa Bodi ya Maziwa Tanzania Bw. Deogratius Buzuka akitoa Elimu ya Maziwa kwa wazazi wa wanafunzi (hawapo pichani) wa Shule ya Msingi Medeli iliyopo Jijini Dodoma leo Novemba 11,2022 wataalamu wa Bodi ya Maziwa Tanzania walipofika shuleni hapo kuutambulisha Mpango wa Unywaji Maziwa Shuleni kwa wazazi hao na kutoa Elimu ya unywaji Maziwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni