Nav bar

Jumatano, 19 Oktoba 2022


 Mheshimiwa Abdallah Hamis Ulega (Mb.), Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi (wa kwanza kushoto) akichangia jambo wakati wa kikao cha Mawaziri wa Kisekta na Mkoa wa Kigoma. Hii ni katika muendelezo wa ziara ya kutatua migogoro ya Ardhi kwa Vijiji 975 kwenye Mikoa 14. kikao hiki kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma tarehe 13 Oktoba, 2022.

Mheshimiwa Abdallah Hamis Ulega (Mb.), Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi (wa kwanza kushoto) akifuatilia kikao cha Mawaziri wa Kisekta na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye (wa tatu kutoka kushoto), Mkoani Kigoma leo tarehe 13 Oktoba, 2022

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni