Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2016

KAMATI YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI WATEMBELEA KISIWA TENGEFU CHA BONGOYO TAREHE 31/03/2016

Picha
NAIBU WAZIRI WA KMU MHE.WILLIAM OLE TATE NASHA MWENYE SHATI LA DRAFTI KATIKATI AKIONGEA NA WABUNGE WA KAMATI YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI KABLA  YA KUONDOKA  ENEO LA SLIPWAY TAYARI KWENDA KWENYE HIFADHI TENGEFU YA KISIWA CHA  BONGOYO WABUNGE WA KAMATI YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI WAKIWA KWENYE BOTI KUELEKEA VISIWA TENGEFU VYA BONGOYO NAIBU WAZIRI  KMU MHE.WILLIAM OLE TATE NASHA AKIWAKARIBISHA WABUNGE KATIKA VISIWA TENGEFU VYA BONGOYO WABUNGE WA KAMATI YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI WAKIPITIA KWA MAKINI TAARIFA ILISOMWA NA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA MARINE PARK RESERVE UNIT DKT MACHUMU DKT. MACHUMU  AKITOA MAELEZO KUHUSU HIFADHI TENGEFU YA KISIWA CHA  BONGOYO MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI,KULIA KWAKE NI NAIBU WAZIRI WA KMU MHE.WILLIAM OLE TATE NASHA NA MWEKITI WA KAMATI HIYO MHE.MARY NAGU WABUNGE WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI BW.MAHENGE AKIELEZEA JINSI WANAVYOSHIRIKIANA NA JAMII IN...

WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA SEKTA YA KILIMO,BLUE PEARL HOTEL,TAREHE 30 MARCH 2016

Picha
MGENI RASMI  NAIBU WAZIRI WA KMU MHE. WILLIAM TATE OLE NASHA AKIFUNGUA  WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA SEKTA YA KILIMO,BLUE PEARL HOTEL MWENYEKITI WA BARAZA LA KILIMO TANZANIA (ACT) DKT. SINARE YUSUPH SINARE AKITOA MAELEZO MAFUPI JUU YA WARSHA HIYO  KABLA YA KUMKARIBISHA MGENI RASMI  WASHIRIKI WA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA KILIMO  WAKIWA TAYARI KUSIKILIZA HOTOBA YA  MGENI RASMI BALOZI WA NORWEY MHE. HANNE-MARIE KAARSTAD AKITOA MAELEZO JUU YA  WARSHA HIYO,NORWEY NI NCHI MOJAWAPO INAYOFADHILI  MIRADI MINGI YA KILIMO  TANZANIA.

TENDER NO. ME/021/2015-16 FOR EXPRESSION OF INTEREST FOR SOUTH WEST INDIAN OCEAN FISHERIES GOVERNANCE AND SHARED GROWTH PROGRAM (SWIOFISH)

Picha
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCK AND FISHERIES (FISHERIES) SOUTH WEST INDIAN OCEAN FISHERIES GOVERNANCE AND SHARED GROWTH PROGRAM (SWIOFish) PROJECT- IDA CREDIT No.5589-TZ REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST                                                        FOR             TENDER No. ME/021/2015-16/SWIOFish/C/01 PROVISION OF CONSULTANCY SERVICES TO CONDUCT INSTITUTIONAL SUPPORT AND TECHNICAL BACKSTOPPING FOR PRIORITY MARINE FISHERIES RESEARCH IN TANZANIA This invitation for Expression of Interest (EoI) follows the General Procurement Notice for...

KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA WAKALA WA ELIMU NA MAFUNZO YA UVUVI FETA - BAGAMOYO TAREHE 30/03/2015

Picha
Samaki aina ya kambale  Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba afungua mkutano na kuwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge waliotembelea FETA Mbegani Bagamoyo Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Kilimo Mifugo na Maji Mhe. Mary Nagu na wanakamati wengine wakiangalia meli za uvuvi zinazotumika kwa ajili ya mafunzo na Utafiti meli inayotumika kwa ajili ya utafiti mabwawa ya kufugia samaki wa maji chumvi na maji baridi Chakula cha samaki

BOTI ZA DORIA KUTOKA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI ZIKISAFIRISHWA KWENDA VITUO MBALIMBALI KWA AJILI YA KUZUIA UVUVI HARAMU

Picha
Moja wapo ya juhudi za serikali kudhibiti uvuvi haramu, serikali imenunua boti kwa ajili ya kupeleka katika vituo vya Mbamba bay - Ruvuma, Kasanga - Rukwa, Ikola - Katavi na Mkoa wa Mwanza Muonekano wa ndani ya Boti boti zikipakiwa kutoka Wizarani tayari kwa kusafirishwa

ZIARA YA KAMATI YA KUTATHMINI VITALU VYA WAWEKEZAJI KATIKA RANCHI ZA NARCO MKOANI KAGERA

Picha
  Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  Mhe. Kassim M. Majaliwa  akiwaonesha wananchi mchoro wa muonekano wake uliochorwa na wakazi wa Misenyi Bukoba kwenye mkutano wa hadhara katika ranchi ya missenyi.   Katibu Mkuu Wizara ya kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Maria Mashingo akiangalia moja ya josho lilojengwa na Mwekezaji kwenye  vitalu vya Ranchi za Narco   Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Nchemba akiangalia ng'ombe  aina ya Borani katika Ranchi ya  Kitengule kitalu na 9 cha Bw. Charles Rwantondogo Bukoba.   Lambo la maji lililojengwa na mwekezaji kwa ajili ya kunyeshea ng'ombe katika ambapo ni moja ya miundo mbinu katika vitalu hivyo Baadhi ya wanakamati wakijadili jambo baada ya kuona lambo hilo   Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Nchemba akiangalia jinsi ng'ombe wanavyoogeshwa katika kitalu no 9 Wanakamati wakipata maelezo kutoka kwa wawekezaji (hayupo pichani) juu ya his...

WORKSHOP ON MAKING MARKETS INCLUSIVE FOR SMALLHOLDER FARMERS WHO ARE THE BACKBONE OF TANZANIAN'S AGRICULTURE HELD AT SERENA HOTEL

Picha
The opening speech for Honorable William Tate Ole Nasha on "smallholder farmers", Deputy Minister for Agriculture, Livestock and Fisheries at Serena Hotel  Representatives  from Government Institution, Development partners, private Sector and Non - government Organisation discussing on agricultural Sector for smallholder farmers Hon. William Tate Ole Nasha, Deputy Minister for Agriculture, Livestock and Fisheries, discuss on making markets inclusive  with Residents Representatives, Aga Khan Foundation as Agricultural Sector is concerned  Delivery Speech on "Making Inclusive for smallholder farmers" hosted by  Country Director The Aga Khan Foundation

KAMPENI YA KUHAMASISHA KUACHA MAUAJI BAINA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI WILAYA KILOSA TAREHE 16 MACHI 2016

Picha
Mwanafunzi wa shule ya msingi ya Mabwerwerwe akipatiwa tshirt na Afisa Mawasiliano inayosema Tusipigane Tuzungumze Wakulima na Wafugaji Tushirikiane Kudumisha Amani katika kijiji cha Parakuyo Bw. Inzelewe Mkuu wa Wilaya ya Kilosa akizungumzia migogoro ya Wakulima na Wafugaji katika kijiji cha Iparakuyo Wilaya ya Kilosa Maafisa wakisikiliza kwa makini taarifa inayotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Bw. Inzelewe kuhusu kero za wakulima na wafugaji Shule ya Msingi na Secondary wapatiwa madawati na vitabu na Maafisa Mawasiliano kutoka Wizara, Halmashauri na Taasisi mbalimbali kijiji cha Twa Twa Twa

WAZIRI MHE NAPE NNAUYE AFUNGUA MKUTANO WA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI KATIKA UKUMBI WA VETA MOROGORO LEO TAREHE 14 MACHI 2016

Picha
Mhe. Nape Nnauye Waziri wa  Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Mawasiliano kutoka  Wizara, Halmashauri na Taasisi za mbalimbali za kiserikali    Mhe. Nape Nnauye Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akifungua mkutano wa 11 wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano serikalini katika ukumbi wa VETA, Morogoro. Maafisa Mawasiliano kutoka Wizara, Halmashauri na Taasisi mbalimbali wakisikiliza kwa makini taarifa inayotolewa na Mhe. Waziri Nape Nnauye