Nav bar

Alhamisi, 17 Machi 2016

KAMPENI YA KUHAMASISHA KUACHA MAUAJI BAINA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI WILAYA KILOSA TAREHE 16 MACHI 2016


Mwanafunzi wa shule ya msingi ya Mabwerwerwe akipatiwa tshirt na Afisa Mawasiliano inayosema Tusipigane Tuzungumze Wakulima na Wafugaji Tushirikiane Kudumisha Amani katika kijiji cha Parakuyo
Bw. Inzelewe Mkuu wa Wilaya ya Kilosa akizungumzia migogoro ya Wakulima na Wafugaji katika kijiji cha Iparakuyo Wilaya ya Kilosa
Maafisa wakisikiliza kwa makini taarifa inayotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Bw. Inzelewe kuhusu kero za wakulima na wafugaji
Shule ya Msingi na Secondary wapatiwa madawati na vitabu na Maafisa Mawasiliano kutoka Wizara, Halmashauri na Taasisi mbalimbali kijiji cha Twa Twa Twa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni