Samaki aina ya kambale |
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba afungua mkutano na kuwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge waliotembelea FETA Mbegani Bagamoyo |
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Kilimo Mifugo na Maji Mhe. Mary Nagu na wanakamati wengine wakiangalia meli za uvuvi zinazotumika kwa ajili ya mafunzo na Utafiti |
meli inayotumika kwa ajili ya utafiti
mabwawa ya kufugia samaki wa maji chumvi na maji baridi |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni