WABUNGE WA KAMATI YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI WAKIWA KWENYE BOTI KUELEKEA VISIWA TENGEFU VYA BONGOYO |
NAIBU WAZIRI KMU MHE.WILLIAM OLE TATE NASHA AKIWAKARIBISHA WABUNGE KATIKA VISIWA TENGEFU VYA BONGOYO |
WABUNGE WA KAMATI YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI WAKIPITIA KWA MAKINI TAARIFA ILISOMWA NA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA MARINE PARK RESERVE UNIT DKT MACHUMU |
WABUNGE WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI BW.MAHENGE AKIELEZEA JINSI WANAVYOSHIRIKIANA NA JAMII INAYOZUNGU VISIWA HIVYO VYA BONGOYO KUHAKIKISHA WANADUMISHA UHIFADHI ENDELEVU |
MKUU WA DORIA NA UVUVI HARAMU BW.EMMANUEL BULAY AKIELEZEA ATHARI ZA UVUVI HARAMU KWA WABUNGE |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni