Nav bar

Alhamisi, 31 Machi 2016

WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA SEKTA YA KILIMO,BLUE PEARL HOTEL,TAREHE 30 MARCH 2016





MGENI RASMI  NAIBU WAZIRI WA KMU MHE. WILLIAM TATE OLE NASHA AKIFUNGUA  WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA SEKTA YA KILIMO,BLUE PEARL HOTEL
MWENYEKITI WA BARAZA LA KILIMO TANZANIA (ACT) DKT. SINARE YUSUPH SINARE AKITOA MAELEZO MAFUPI JUU YA WARSHA HIYO  KABLA YA KUMKARIBISHA MGENI RASMI 

WASHIRIKI WA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WA KILIMO  WAKIWA TAYARI KUSIKILIZA HOTOBA YA  MGENI RASMI

BALOZI WA NORWEY MHE. HANNE-MARIE KAARSTAD AKITOA MAELEZO JUU YA  WARSHA HIYO,NORWEY NI NCHI MOJAWAPO INAYOFADHILI  MIRADI MINGI YA KILIMO  TANZANIA.





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni