Mhe. Nape Nnauye Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Mawasiliano kutoka Wizara, Halmashauri na Taasisi za mbalimbali za kiserikali |
Mhe. Nape Nnauye Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akifungua mkutano wa 11 wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano serikalini katika ukumbi wa VETA, Morogoro. |
Maafisa Mawasiliano kutoka Wizara, Halmashauri na Taasisi mbalimbali wakisikiliza kwa makini taarifa inayotolewa na Mhe. Waziri Nape Nnauye |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni