Nav bar

Alhamisi, 24 Machi 2016

BOTI ZA DORIA KUTOKA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI ZIKISAFIRISHWA KWENDA VITUO MBALIMBALI KWA AJILI YA KUZUIA UVUVI HARAMU

Moja wapo ya juhudi za serikali kudhibiti uvuvi haramu, serikali imenunua boti kwa ajili ya kupeleka katika vituo vya Mbamba bay - Ruvuma, Kasanga - Rukwa, Ikola - Katavi na Mkoa wa Mwanza

Muonekano wa ndani ya Boti

boti zikipakiwa kutoka Wizarani tayari kwa kusafirishwaHakuna maoni:

Chapisha Maoni