Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Nchemba akiangalia ng'ombe aina ya Borani katika Ranchi ya Kitengule kitalu na 9 cha Bw. Charles Rwantondogo Bukoba.
Lambo la maji lililojengwa na mwekezaji kwa ajili ya kunyeshea ng'ombe katika ambapo ni moja ya miundo mbinu katika vitalu hivyo
Baadhi ya wanakamati wakijadili jambo baada ya kuona lambo hilo
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Nchemba akiangalia jinsi ng'ombe wanavyoogeshwa katika kitalu no 9
Wanakamati wakipata maelezo kutoka kwa wawekezaji (hayupo pichani) juu ya historia ya shamba lake, mafanikio na changamoto zilizopo
Ng'ombe kutoka Uganda waliongia bila vibali wameshikiliwa katika Ranchi ya Missenyi baada ya kukamatwa wakichunga ndani ya Ranchi za wawekezaji kutoka Tanzania
Wajumbe wa kamati ya kutathmini maeneo ya Wawekezaji katika vitalu vya Ranchi za NARCO wakiwa na aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bw. John Mongela watatu kulia akifatiwa na Katibu Mkuu Sekta ya Mifugo Dkt. Maria Mashingo
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni