Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Wafugaji na Wakulima wa Wilaya ya Rufiji tarehe 05/01/2016 |
Afisa Mifugo Bw. Salimu Shabani Msangi akisoma taarifa fupi kwa Mhe. Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha kuhusu sekta ya mifugo katika Wilaya ya Rufiji |
Wanakijiji wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha hayupo pichani |
Mwenyekiti wa kijiji cha kwiriri Bw. Singa athumani akiomba maeneo yatengwe kwa ajili ya wafugaji na wakulima |
Bw. Yahya mwankijijj kutoka kijiji cha Ikwiriri alisema sababu ya mifugo kuhama ni kutokana na tabia nchi |
Mjumbe wa serikali za mitaa Bi. Rukia aomba pembejeo za Kilimo zije kwa wakati |
Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha alisistiza watendaji wahakikishe mifugo iliyopo inalingana na maeneo yaliyotengwa kwa kufuata taratibu zilizowekwa |
Wanakijii wa kijiji cha Muhoro wakieleza kero zao kwa Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha |
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha akiwaeleza wanakijiji kuwa watahakikisha kutenga maeneo mbalimbali kwa wafugaji ambao hawana maeneo |
Wanakijiji wa Kilimani wakieleza uharibifu wa mazao yao kutokana na mifugo inayoingia |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni