Nav bar

Jumatatu, 4 Januari 2016

MKUTANO WA WAANDISHI ULIOFANYIKA TAREHE 29/12/2015 KATIKA UKUMBI WA IDARA YA HABARI MAELEZO

Bw. Abdu Hayghaimo Mkurugenzi wa Idara ya  huduma za mifugo leo ya Mifugo na Uvuvi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu haki za Wanyama na Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji yaliyosababisha vifo vya Binadamu na Ng’ombe Wilaya ya Mvomero.

Bi. Judith Mhina Mkuu wa Kitengo cha  Mawasiliano Serikalini  Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akizungumza na waandishi wa habari haki za Wanyama na Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji yaliyosababisha vifo vya Binadamu na Ng’ombe Wilaya ya Mvomero.

Waandishi wa habari wakiuliza maswali kutoka kwa Watumishi wa Wizara ya Kilimo Mifugo  Uvuvi 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni