Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha wa kwanza kushoto akiwa kwenye mkutano wa Chama cha Ushirika cha kati mpanda Mkoa wa Katavi |
Washiriki katika mkutano huo wa Chama cha Ushirika wakiskiliza kwa makini maagizo kutoka kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha |
Afia Kilimo wa Mkoa wa Katavi Bw. Innko akimkaribisha Mhe. Naibu Waziri Tate Ole Nasha walipotembelea kijiji cha Mwankulu manispaa ya Mpanda |
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha akiskiliza malalamiko kutoka kwa Wakulima na wafugaji wa kijiji hicho (hawapo pichani) |
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha akiongea na Wakulima na Wafugaji wa Kijiji cha Mwankulu (hawapo pichani) |
Mkuu wa Wilaya ya Katavi Bw. Paza Mwamlima akifafanua majibu kwa wananchi waliouliza maswali (hawapo pichani) |
Bi. Yunis Moses kutoka kijiji cha Mwankulu ameomba mbegu ziwe zinaweza kufika kwa wakati katika kijiji chao |
Wanakijiji wa Mkoa wa katavi kijiji cha Mwankulu wakisikiliza ujumbe kutoka kwa Mhe. Naibu Waziri William Tate Ole Nasha |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni