Waziri Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. George Mkuchika akisaini kitabu cha wageni kwenye Maonesho ya Nanenane 2015 yaliyofanyika Mkoani Lindi |
Bw. Edgar Shabani Afisa Utumishi Idara ya Utawala na Rasilimali Watu akimuelezea Waziri Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. George Mkuchika kuhusu masuala ya Kiutawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu |
Wafanyakazi kutoka Shirika la Mitamba Tanzania (Heifer International Tanzania) wakielezea huduma mbalimbali wanazotoa kwa jamiii |
Bi. Joyce Daffa kutoka Idara ya Huduma za Mifugo akitoa maelezo mafupi kwaWaziri Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. George Mkuchika kuhusiana na magonjwa mbalimbali ya Mifugo |
Bw. George Mtinda akimuelezea Mhe. George Mkuchika kuhusiana na Usajili wa Mifugo |
Bw. Jeremiah Temu Afisa Masoko Mwandamizi akimuelezea Waziri Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. George Mkuchila Usindikaji wa Nyama na uongezaji wa thamani kwa bidhaa za Nyama zinazotengenezwa na Mjasiriamali |
Waziri Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. George Mkuchika akiangalia tanki la samaki wanaofugwa aina ya Kambale na Sato |
Bw. Mashaka Mtaalamu kutoka Wakala wa Elimu na Vyuo vya Mafunzo Tanzania akitoa elimu ya Ufugaji wa samaki kwa Waziri Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. George Mkuchika |
Bw. Francis Mmanda Afisa Uvuvi Idara ya Ukuzaji Viumbe Kwenye maji akitoa mafunzo kuhusu Ufugaji Bora wa Samaki |
Wadau wakisikiliza kwa makini mafunzo yanayotolewa na Bw. Francis Mmanda Afisa Uvuvi Idara ya Ukuzaji Viumbe Kwenye maji (hayupo pichani) |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni