Bi. Leokadia Mkira Mchumi Mkuu Idara ya Sera na Mipango Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akielezea kuhusu Sera ya Mifugo na Uvuvi |
Bw. Mbahe Mabochi Afisa Tehama Idara ya Teknolojia Habari na Mawasiliano akielezea mfumo wa Utambuzi wa Mifugo unavyotumika |
Bi. Grace Mwaigomole Mwanasaikolojia Mwandamizi (Principle Sociologist) Idara ya Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akizungumzia masuala ya Uzalishaji |
Bw. Leonard Basil Afisa Mifugo Mkuu Idara ya Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akiongolea kuhusu masuala ya Masoko |
Bi. Joyce Daffa Afisa Ndorobo Mkuu wa Idara ya Huduma za Mifugo akielezea kuhusu magonjwa ya Mifugo |
Bi. Joyce Daffa Afisa Ndorobo Mkuu wa Idara ya Huduma za Mifugo akionesha mitego mbalimbali ya kunasa Mbung'o |
Bw. George Mtinda Daktari wa Mifugo kutoka Baraza la Veterinari Tanzania akielezea Usajili wa Mifugo mbalimbali |
Bi. Mary Ngowi Afisa Mifugo Mkuu Wakala wa Maabara ya Vetenari Tanzania akielezea kuhusu dawa za Mifugo |
Bw. Leo Mubila kutoka Wakala wa Maabaa ya Veterinari Tanzania akielezea Uzalishaji wa Chanjo |
Bw. Mchome Heriel Meneja Utafiti na Ushauri Wakala wa vyuo vya Mafunzo ya Mifugo Tanzania akitoa maelezo yake kwa kina |
Bw. Jeremiah Temu Afisa Masoko Mkuu Bodi ya Nyama akionyesha namna ya Utunzwaji wa Nyama kuanzia machinjioni mpaka inapofikia kuuzwa |
Bi. Fatma Sobo Mkurugenzi Msaidiziwa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi akionesha aina mbalimbali za samaki |
Ng'ombe wa maziwa aina ya Freshian |
Mtangazaji Pascal Mayalla atembelea darasa lilokuwa linatoa mafunzo ya Ufugaji |
Bw. Zaro Afisa Masoko African Chicken Genetic Gain kutoka Mkuranga akielezea Ufugaji wa kuku wa mayai na nyama |
Kuku wa mayai aina ya Black Austrolop |
Dr. Ezekiel Golemela Mtafiti wa Mifugo wa Mtwara akielezea kuhusu ufugaji wa kuku |
Kuku wa Mayai aina ya New Hamshire |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni