Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernad Membe akitaka tuimarishe ujirani mwema na Nchi Jirani kwa Maendeleo ya Wananchi wa Nchi zote |
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imepata ushindi wa pili wa Wizara za Sekta ya Uchumi iliopokelewa na Mkurugenzi Bi. Anunciata Njombe Idara ya Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko |
Bw. Nicholai Chiweka Afisa Masoko na Utafiti apokea zawadi ya kuwa Washindi wa pili katika Bodi ya Mazao kwa niaba ya Bodi ya Maziwa |
Bw. Nicholai Chiweka Afisa Masoko na Utafiti wa Bodi ya Nyama wakishangilia Ushindi pamoja na Bw. Mchome Heriel Meneja Utafiti na Ushauri Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho kikwete azindua Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) (hayupo pichani) |
Bendi ikitumbuiza kwenye Sherehe za Sikukuu ya Wakulima ya Nanenane katika Kiwanja cha Ngongo Mkoani Lindi |
Kikombe cha Ushindi wa pili |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni