Waziri Mkuu waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akitoa hotuba ya ufumgizi wa Maonesho ya Nanenane Mkoani Lindi |
Bi. Joyce Daffa Afisa Ndorobo Mkuu Idara ya Uchunguzi na Utafiti wa Mifugo Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akionesha chambo cha kunasia Mbung'o |
Mtego wa Mbung'o aina ya Biconical |
Bw. Jeremiah Temu Afisa Masoko Mkuu pamoja na Bi. Digna Mallya Afisa Rasilimali watu na Utawala na Bw. Nicholai Chiweka Afisa Masoko na Utafiti Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakitoa maelezo kwa mdau alietembelea banda la Bodi ya Nyama Tanzania |
Dkt. Mchome Heriet kutoka LITA (Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo Tanzania) Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akigawa vipeperushi kwa wadau Mbalimbali |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni