Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba alipotembelea moja ya banda la Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA)
Bw. Edgar Shabani Afisa Utumishi Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akitoa maelezo kwa mdau kuhusu Mkataba wa Huduma kwa Mteja |
Bi.Grace Mwaigonile Mwanasaikologia Mwandamizi (Principle Sociologist) Idara ya Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko akitoa huduma kwa Wadau kwenye Maonesho ya Nanenane Mkoani Lindi |
Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakiwa katika picha ya Pamoja |
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba apiga Picha na Mdau wa Mashahiri Mpemba Asilia pamoja na Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
Bi. Leokadia Mkira Kutoka Idara ya Sera na Mipango Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akitoa maelezo kwa mdau kuhusu sera ya mifugo na Uvuvi |
Wafanyakazi kutoka Shirika Lisilo la Kiserikali la Heifer International Tanzania (Uholanzi) Wakisikiliza maoni ya Mdau |
Wakala wa vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi Tanzania (FETA) wakionesha jinsi ya kufuga samaki kwenye tenki (Polythine tank) |
Wakina Mama Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakiwa katika picha ya pamoja |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni