Nav bar

Jumamosi, 1 Novemba 2014

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. KAIKA SANING'O OLE TELELE MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMATI YA KITAIFA YA USHAURI YA ZAO LA NGOZI

 Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Kaika Saning'o Ole Telele mwenye kofia nyeusi, akikagua maonyesho ya bidhaa zitokanazo na ngozi mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Saning'o Ole Telele mwenye kofia, akiangalia bidhaa za ngozi katikati Kaimu Katibu Mkuu Bibi Catherine Joseph na pembeni ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri ya zao la ngozi
Kaimu Katibu Mkuu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bibi. Catherine Joseph akielezea chimbuko la Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Ngozi,
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Ngozi na wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,  wakifuatilia kwa makini maelezo  yaliyokuwa yakitolewa na  Kaimu Katibu Mkuu

 u
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Ngozi na wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,  wakifuatilia kwa makini maelezo  yaliyokuwa yakitolewa na  Kaimu Katibu Mkuu
Baadhi ya Waandishi wa Habari na Watumishi wa Wizara waliohudhuria uzinduzi huo
Wadau wa zao la ngozi na Watumishi waliohudhuria Uzinduzi huo


Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Kaika Saning'o Ole Telele, akimkabidhi vitendea kazi mwakilishi wa Chama cha Wadau wa Ngozi wa Mkoa wa  Mwanza Bw. Abel Matiku
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Kaika Saning'o  Ole Telele, akimkabidhi vitendea kazi Muwakilishi wa  Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Bibi. Magdalena Mkocha . 


Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Kaika Saning'o  Ole Telele, akimkabidhi vitendea kazi   Bibi. Winfrida kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Kaika Saning'o Ole  Telele akikabidhi vitendea kazi  kwa  Kaimu  Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo.Dkt. Swai kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Kaika Saning'o  Ole Telele, akimlkabidhi vitendea kazi Mkurugenzi wa  Uzalishaji Mifugo na Masoko  Bibi. Anuciata Njombe, ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa zao la Ngozi
Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Ngozi Dkt. Jonas Melewas  akipokea vitendea kazi kutoka kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Kaika Saning'o Ole Telele

Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Kaika Saning'o Ole Telele akimkabidhi Vitendea kazi Mdau wa bidhaa za ngozi Bw. Augustino Mbwambo kutoka kampuni ya Woiso Original Products, kwa niaba ya Bw. Sebath Woiso ambaye hakuhudhuria uzinduzi huo 

Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Kaika Saning'o Ole Telele ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kamati ya kitaifa ya Ushauri wa Ngozi ) akitoa Hotuba kabla ya kuzindua rasmi kamati hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Ngozi Dkt. Jonas Melewas akimkabidhi vitendea kazi Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kamati ya kitaifa ya Ushauri wa Ngozi Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Kaika Saning'o Telele

Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Ngozi Dkt. Jonas Melewas akitoa Maelezo mafupi  kabla ya Uzinduzi huo

Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Saning'o Ole Telele akiwa katika picha ya Pamoja na Wadau wa zao la Ngozi na Watumishi wa Wizara waliohuduria hafla hiyo katika Ukumbi wa Court Yard Dar-es-salaam
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Saning'o Ole Telele akiwa katika picha ya Pamoja na Wadau wa zao la Ngozi na Watumishi wa Wizara waliohuduria hafla hiyo katika Ukumbi wa Court Yard Dar-es-salaamAdd caption

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni