Nav bar

Alhamisi, 6 Novemba 2014

RAIS AMUAPISHA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Prof Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt Yohana Budeba kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Prof Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba Vitendea kazi vya Wizara yake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Prof Jakaya Mrisho Kikwete akimtakia Heri Dkt Yohana Budeba kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi  

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bibi Tabu Chando  akimkabidhi maua Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba, kama ishara ya kumkaribisha Wizarani katika Majukumu yake Mapya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni